Friday, July 12, 2013

Campus life.


 Nikianza kuongea juu ya campus wasee hunicheka, wengine husema ni hali ya kujidai au hata kujipenda, but Campus life jo imenijenga, two years down the line jo na siezi teta, mazuri jo maishani yameni teka, kaa maji sa nafuata mkondo, namfuata yesu niite mwana kondoo, mienendo yangu ka nile sa hayana kikomo, fikira safi ni ka imeoshwa na omo, brotherhood nimeget campo naipenda no homo, na luv nimeget kwa msupa haina kikomo. Intellectual advancement ndio main agenda, but msupa wa me siwezi kosa mpenda, kukata maji matym me hupenda but kulala Kwa mtaro thanks god sijawai tenda. Tangu niingie campo life imekuwa na drama, inaniwai utadhani nimekuwa drum nayo imekuwa drammer, nasema ukweli na sitazingatia grammer, juu nisipoeleza kile itafuatilia ni gharama.
Sa nikiongelea kile nimeona, najua nitawagusia wengine hasira watanoa, but atleast nitakuwa nimesave wengine ka Noah, wengine watanitake for a ride ka Toyota noah.  Dame ame join campo young and innocent, back kwa village ye ni kioo cha jamii, fika campus anatoa ignorance, semester ya kwanza ashakuwa simu ya jamii. Boy naye ashajifanya babayao, madem kuwa play  anawabadilisha ka chupi, hawa wasee maisha yao sa fupi, future wameiruin juu ya vitendo vya kimaudhi
Si kila kitu about campus jo ni mbaya, dame ametoka kwao mashamba ka hajui fashion, urembo nayo anayo kwa wengine  ishakuwa tisho, vipodozi ashajipaka stage ashajipata, ku cat walk miss university ashaipata. Ku traverse the country aki represent uni yake.
Watu husema wamepitia school of life, but hio life ni incomplete ka hujapitia campus life, ma drama hukuandama za education, za religion za mapenzi na ukahaba usi forget  za siasa, though kile ina boo campus life ni short ka kinyasa, na bila mpango huku nyanyasa, but still yet me napenda campus life, na siwezi I 4get hadi nirudi six feet under. 

No comments:

Post a Comment